FIVE DAYS WORKSHOP ON EFFECTIVE NEGOTIATION IN PROCUREMENT:CRITICAL SKILLS, TECHNIQUES AND TACTICS AT MOROGORO REGION.

  • Event Date: Aug 13, 2018 - Aug 17, 2018
  • Time: 5 DAYS
  • Location: Morogoro Region

MABADILIKO YAWARSHA YA TAREHE 06/08/2018 HADI 10/08/2018 MKOA WA MOROGORO.

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi wa Ugavi (PSPTB) inapenda kutumia fursa hii kuutarifu umma juu ya mabadiliko ya warsha iliyokuwaifanyike tarehe 06/08/2018 hadi tarehe 10/08/2018, sasa warsha hiyo itafanyikatarehe 13/08/2018 hadi tarehe 17/08/2018 katika ukumbi wa NSSF Mkoani Morogoro.

MABADILIKO YA TAREHE YA WARSHA YA MOROGORO KUFANYIKA TAREHE 13 HADI 17, 2018.